Saturday, 11 March 2017

BOMOABOMOA YAANZA KUTIKISA BUGURUNI

Tokeo la picha la bomoa bomoa buguruni

Nyumba zaidi ya 250 zilizopo pembezoni mwa reli ya kati, kuanzia Stesheni hadi Pugu zimeanza kuvunjwa leo (Jumamosi) na Kampuni hodhi ya rasilimali za reli nchini (Rahco) kwa kile kinachodaiwa kuwa zipo ndani ya hifadhi ya reli.


Wakati nyumba za Buguruni zikivunjwa leo wakazi wa eneo hilo wameilalamikia Serikali kwa kutotoa taarifa mapema jambo ambalo limesababisha baadhi yao kushindwa kuokoa mali walizonazo huku wengine wakiwa njia panda kwa kutofahamu ni wapi watalala. 

Reactions:

0 comments:

Post a Comment