Thursday, 2 February 2017

NDEGE NDOGO YAANGUKA, KILOLO IRINGANdege ndogo ya kupuliza dawa ikitokea maeneo ya wilaya ya Mufindi mkoani Iringa imeanguka katika kijiji cha Ipalamwa wilayani humo, jana jioni, huku taarifa za awali zikidai kwamba hakuna mtu aliyepoteza maisha .

Mkuu wa wilaya ya Kilolo Asia Abdallah amethibitisha kutokea kwa ajili hiyo na kuwa ndege hiyo ilikuwa ikitoka Mufindi kwenda Kilombero mkoani Morogoro na kuwa rubani wa ndege hiyo ametoka salama


Reactions:

0 comments:

Post a Comment