Sunday, 22 January 2017

YAHYA JAMMEH ATIMKIA GUINEA

Gambia's defeated leader leaves country, ends standoff

BAADA ya kung’ang’ania madaraka kwa muda mrefu, Yahya Jammeh ameachia madaraka ya urais kwa Adama Barrow aliyeshinda kiti hicho katika uchaguzi wa hivikaribuni..

Ripoti kutoka nchini humo zimebainisha kuwa Jammeh amekwenda chini Guinea, ambako haieleweki ataishi kwa muda gani.


Idadi kubwa ya wananchi mitaani wamefurahia kuondoka kwake akiwa ni Rais wa kwanza wa Gambia kuachia madaraka kwa amani toka ilipopata Uhuru mwaka 1965.Reactions:

0 comments:

Post a Comment