Sunday, 22 January 2017

RAIS WA GAMBIA ASUBIRI USALAMA KUREJEA NCHINI KWAKE

Tokeo la picha la adama barrow

Rais wa Gambia, Adama Barrow amesema kuwa atarudi nchini Gambia wakati jumuiya ya ECOWAS itakapoona ni salama kwa yeye kurudi.

Amesema kuwa atatoa kipaumbele kwa suala la uchumi na kuahidi kuanzisha tume ya haki na maridhiano ili kuchunguza ukiukaji wa haki za kibinaadamu.

Adama Barrow bado yupo nchini Senegal na amepewa makao nchini humo baada ya kula kiapo cha Urais katika ubalozi wa Gambia nchini Senegal

Reactions:

0 comments:

Post a Comment