Monday, 5 December 2016

ZAIDI YA 10 WAHOFIWA KUFA KATIKA AJALI ILIYOTOKEA IRINGA VIJIJINI HII LEO


ABIRIA zaidi ya 10 waliokuwa wakisafiri kutoka Iringa Mjini kuelekea Ulete Iringa vijijini wanahofiwa kufa baada ya Hiace waliokuwa wakisafiria kugongwa na lori linalodaiwa lilikuwa likitoka Mafinga, wilayani Mufindi, likielekea Iringa Mjini.

Ajali hiyo inadaiwa kutokea majira ya saa 12 jioni ya leo katika eneo la Tanangozi nje kidogo ya Manispaa ya Iringa.

Bongo Leaks inaendelea kufuatilia tukio hilo na itakujuza zaidi…………..
Reactions:

0 comments:

Post a Comment