Sunday, 4 December 2016

TRUMP ALALAMIKA KUIGIZWA VIBAYA

Donald Trump na mtu anayemuigiza Alec Baldwin kulia

Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, amelalamika juu ya kipindi che televisheni cha vichekesho kwa jina Saturday Night Live.


Amesema anaigizwa vibaya sana na mchezaji Alec Baldwin.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment