Monday, 26 December 2016

HAIJAWAHI KUTOKEA, DIAMOND AFUNIKA MBAYA IRINGA

MSANII wa bongo fleva asiyekamatika kirahisi, wa bei mbaya na anayewika ndani na nje ya nchi, Diamond Platnumz na kundi lake la wasafi, jana (sikukuu ya Krismas) wameweka historia ambayo haileweki itavunjwa lini, kwa shoo yake kujaza uwanja wa Samora nyomi ya kufa mtu ambayo haijawahi kutokea uwanjani hapo.

Katika shoo hiyo iliyoanza majira ya saa moja jioni hadi saa tisa usiku, Diamond alikuwa na wakali wengine kama Harmonize, Rayvanny, Queen Darleen, Q Boy, Chege pamoja na msanii kutoka Nigeria Kcee.


Show hiyo iliyopewa jina la Vodacom Wasafi Festival, hizi ni baadhi ya picha kutoka mahali palipofanyika tamasha hilo.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment