Sunday, 4 December 2016

BOURNEMOUTH YAICHAMBUA LIVERPOOL 4-3


LIVERPOOL imeshindwa kutamba mbele ya BOURNEMOUTH baada ya kukubali kipigo cha mabao Nne kwa Tatu.

Nusu ya kwanza ya mchezo, Liverpool ilikuwa ikiongoza mabao 2-0 katika uwanja wa ugenini kabla Bournemouth hawajapata goli la kwanza katika Dk 61 kupitia mchezaji wake Fraser.

Liverpool waliongeza kasi ya mchezo na Dk 64 walipiga bao la tatu, kabla wenyeji hao kutupia bao la pili hadi la nne na kuwaacha Liverpool wakiondoka mikono mitupu katika uwanja wa Bournemouth.


Reactions:

0 comments:

Post a Comment