Friday, 16 December 2016

BINTI AJIRUSHA TOKA GHOROFA YA SABA AKITAKA KUJIUA


MFANYAKAZI wa muda wa kampuni ya Usangu Logistics Ltd, Redna Raphael amenusurika kufa baada ya kujirusha kutoka ghorofa ya Saba katika jengo la JM Mall, au Harbour View Tower.


Binti huyo amejirusha leo asubuhi kutokana na kile kinachodaiwa kuwa huenda ni kutofautiana na mpenzi wake katika mazungumzo ya simu. Kwa sasa binti huyo ambaye amenusurika, anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Mnazimmoja.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment