Sunday, 11 December 2016

ACCESSBANK ILIVYOZINDUA TAWI LAKE IRINGA
Mkuu wa Maendeleo ya Biashara wa AccessBank Andrea Ottina (kushoto) akimlisha keki Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza wakati wa uzinduzi wa tawi la benki hiyo mjini Iringa hivikaribuni. Katikati ni Meneja wa Tawi la AccessBank Iringa Frederick Masungwa 

Reactions:

0 comments:

Post a Comment