Tuesday, 29 November 2016

MWANAFUNZI AJIUA BAADA YA KIFO CHA MAMA YAKE

Tokeo la picha la mwanafunzi ajinyonga

Mwanafunzi wa darasa la sita wa shule  ya  msingi  ya  Kaloleni  wilayani  Moshi  mkoani  Kilimanjaro, Khalid Shaban (14),  amefariki dunia  baada  ya  kujinyonga kwa kutumia mkanda wa suruali akiwa chumbani kwake.

Inadaiwa Shaban amejiua kutokana na  mshtuko  wa  kifo  cha   mama  yake  mzazi  aliyefariki  siku chache zilizopita.


Tukio hilo lililiovuta hisia za watu wengi lilitokea   Novemba 28, mwaka huu,  saa 7.00 mchana katika eneo la kata ya Mabogini, Moshi. 

Reactions:

0 comments:

Post a Comment