Monday, 21 November 2016

MAMBO KUMI YNAYODAIWA KUUTIA DOA UTAWALA WA MAGUFULI

Tokeo la picha la magufuli

Haya ndio mambo kumi yaliyolipotiwa na Mwananchi kwamba yanatia doa utawala wa Dk John Magufuli.

Mambo hayo ni pamoja na mchakato wa  katiba  mpya  ambao  alisema  si  kipaumbele  chake.


Mbali ya Katiba,  mambo mengine ni kuangalia  uwezekano wa kuwasaidia  wa kuwasaidia  waathirika  wa tetemeko  la  ardhi  mkoani  Kagera,  hali ya  siasa  Zanzibar,  kuheshimu  sheria  wakati wa kuwajibisha watumishi, kuruhusu uhuru wa mihimili ya nchi, kuruhusu demokrasia, kuruhusu shughuli zote za Bunge kuonyeshwa moja moja na  vituo  vya  televisheni  na  redio  na kuepuka kauli tata.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment