Monday, 21 November 2016

MAGARI YANAUZWA, MAGARI YANAUZWA...

Taasisi ya Uendelezaji Misitu Tanzania – FDT yenye ofisi zake Gangilonga -Iringa inapenda kuutangazia umma juu ya mnada wa magari yake 3 aina za Nissan Hardbody yenye namba za usajili T 440 BMY, T 780 BMY na T 387 BMY.  Magari hayo yapo ofisi za Taasisi eneo la Gangilonga - Iringa.
Taarifa xa magari ni;

Reg. Number
Year
Mileage
Transmission
Engine (cc)
T 440 BMY
2010
142,137
Manual
3153
T 780 BMY
2010
198,727
Manual
3153
T 387 BMY
2010
167,425
Manual
3153

Utaratibu wa mnada ni wa ushindani ambapo mnunuzi atataja bei anayoweza. Maombi ya ununuzi yatafungwa kwa siri katika bahasha na kuwasilishwa katika ofisi za FDT au kutumwa kwa barua pepe fdt-hr@forestry-trust.org. Maombi ya ununuzi ya yasiwe chini ya Tshs. 15,000,000/=. Kwa wale wanaopenda kuyaona magari wawasiliane na namba 0769 989615 ili kupata muda wa kuja kuangalia magari.

Masharti ya mnada yatakua kama ifuatavyo.

-          Wanunuzi watashindana kwa bei na atakayekua na bei nzuri ndio ataweza kununua gari

-          Mnunuzi atatakiwa kulipa 40% ya bei itakayokubalika ndani ya siku tatu za kazi baada ya mnada na kiasi kilichobaki – 60% kitatakiwa kulipwa ndani ya siku 5 za kazi baada ya kusaini mkataba.

-          Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe ni 30 November 2016 saa 11 jioni.

Kwa maelekezo zaidi wasiliana na: -

Bi. Maureen Peter

Simu 0769 989615

Reactions:

0 comments:

Post a Comment