Sunday, 4 September 2016

SERIKALI KUFANYA UHAKIKI WA MADAWATI SEPTEMBA 20

Tokeo la picha la simbachawene na madawati

SERIKALI imesema imesogeza mbele kazi ya kukusanya madawati hadi Septemba 20, kuruhusu yaliyo katika ahadi ya fedha yachongwe na ambayo hayajafika shuleni yafikishwe.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, George Simbachawene alisema kwa wastani lengo la kumaliza upungufu wa madawati limekamilika mikoa yote isipokuwa maeneo machache.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment