Sunday, 4 September 2016

NYONGEZA YA BODI ZA MAGARI YA WATALII HAZIONDOI UBORA

Tokeo la picha la magari marefu ya utalii

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limesema haliwezi kuingili kati uongezaji wa bodi za magari ya kubeba watalii kwa kuwa watengenezaji hawajalalamikia kitendo hicho.

“Hapa TBS hatuhusiki kutoa cheti cha ubora kwa magari kama hayo yaliyoongezewa ubunifu ambao hauondoi ubora wa asili,” alisema MKurugenzi Mkuu wa TBS, Dk Rgid Mubofu.

Alisema nyongeza za mbwembwe katika magari hayo zinafanywa kwa matakwa ya watumiaji ili kukidhi mahitaji yao lakini haziondoi ubora wa asili wa gari husika kimataifa.


Reactions:

0 comments:

Post a Comment