Thursday, 8 September 2016

MSAJILI, CUF WAKETI KUJADILI MGOGORO WA CHAMA HICHO

Tokeo la picha la msajili na cuf

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amekutana na viongozi wakuu wa Chama cha Wananchi (CUF) muda huu ili kujadili mgogoro wa kisiasa katika chama hicho.

Viongozi hao wamekutana na Msajili wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF, Julius Mtatiro.


Jaji Mutungi amedai kuwa vikao hivyo ni vya ndani na hivyo atatoa taarifa rasmi baada ya kumaliza vikao hivyo

Reactions:

0 comments:

Post a Comment