Tuesday, 13 September 2016

MENGI ATOA MILIONI 110 KUCHANGIA WAATHIRIKA WA TETEMEKO KAGERA

Tokeo la picha la reginald mengi

MWENYEKITI Mtendaji wa IPP, Dk Reginald Mengi amechangia Sh Milioni 110 kusaidia wananchi walioathirika na janga la tetemeko la ardhi Kagera wakati wafanyabiashara kwa ujumla wao wakichanga zaidi ya Sh Bilioni 1.4 katika harambee ya kuchangia waathirika hao.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment