Wednesday, 14 September 2016

AJALI MBAYA IMETOKEA LEO MJINI IRINGA


WATU wawili wamenusurika kifo katika ajali mbaya iliyotokea leo maeneo ya msikiti wa Hidaya mjini Iringa ikihusisha gari ndogo aina ya Corola na Katapira.

Mashuhuda wa ajali hiyo wamesema, ndani ya gari hilo dogo kulikuwa na watu wawili, dereva na mtoto wa kike aliyeumia kidogo katika mkono wake mmoja.


Chanzo cha ajali hiyo akikuwekwa bayana japokuwa baadhi ya mashuhuda walisema, katapira hilo ndilo lililoifuata gari hiyo ndogo.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment