Thursday, 8 September 2016

AJALI MBAYA ENEO LA PALM BEACH JIJINI DAR LEO


WATU watatu wamefariki dunia baada ya gari aina ya Toyota kuacha njia na kugonga nguzo ya umeme eneo la Palm Beach, Dar es Salaam

Reactions:

0 comments:

Post a Comment