Thursday, 18 August 2016

WAENDESHA BAISKELI SHINYANGA WAMUANGUKIA MKUU WA MKOA


Waendesha Baiskeli maarufu kama ‘daladala’ Mkoani Shinyanga wameomba kuthibitishwa kama hawataendelea na kazi ya kubeba abiria kwa baiskeli zao huku wakidai kuwa jambo hilo litawaathiri sana kiuchumi.

Wananchi hao wametoa kilio hicho kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainabu Telack kuhusiana na mustakabali wa kazi hiyo wanayoitegemea kiuchumi.


Awali, Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga, Rewis Kalinjuna alitoa siku saba kusitisha ubebaji wa abiria kwa kutumia baiskeli.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment