Thursday, 18 August 2016

UINGEREZA KUPAMBANA NA UNENE WA KUPINDUKIA KWA WATOTO


Mpango wa kupambana na unene wa kupindukia kwa watoto nchini Uingereza umetangazwa ukilenga kupunguza Sukari kwenye Vyakula na vinywaji kwa 20% kwa kipindi cha miaka zaidi ya minne.


Lakini hatua hizo hazihusishi kuzuia matangazo ya vyakula kwenye Televisheni.

Vyanzo vya habari vinasema mpango huo utaeleza pia kuhusu masuala ya Kodi kwa vinywaji vyenye sukari.

Mipango ya kupambana na tatizo hilo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu kwa miezi kadhaa.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment