Monday, 1 August 2016

LEMA AMVAA DC WA ARUSHA MBELE YA NAIBU WAZIRI TAMISEMI


Kikao cha Naibu Waziri wa Tamisemi, Suleiman Jaffo na watendaji jijini hapa nusra kivurugike baada ya Mbunge wa Arusha Mjini, Goodbless Lema kumtuhumu mkuu wa wilaya hiyo, Mrisho Gambo kwa kutumia madaraka yake vibaya na kutokuheshimu mipaka yake ya kazi. 

Reactions:

0 comments:

Post a Comment