Friday, 19 August 2016

JWTZ FEKI ATUPWA JELA MIAKA MIWILI


Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imemhukumu kifungo cha miaka miwili jela, mkazi wa kambi ya Lugalo Anderson William (24) kwa kosa la kujifanya askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakati akijua kuwa siyo kweli.

William ambaye ni maarufu kama MT 97185 Anderson alikutwa akiwa amevaa sare za Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) na kujitambulisha kwa askari wa jeshi hilo kuwa yeye ni mwanajeshi.


Hakimu mkazi wa mahakama hiyo, Adolf Sachore amesema ameridhishwa na ushahidi wa mashahidi saba wa upande wa Jamhuri ambao umethibitisha shtaka hilo pasipo kuacha

Reactions:

0 comments:

Post a Comment