Tuesday, 19 July 2016

SOMA HAPA ALICHOSEMA MBUNGE WA KILOLO VENANCE MWAMOTTO HII LEO


“WILAYA ya Kilolo sio mpya lakini mambo yake mengi hayaendi vizuri. Huu ni msimu wa hapa kazi tu, tubadilike tusonge mbele” Venance Mwamotto aliyasema hayo leo alipokuwa akimkaribisha Naibu Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo aliyetembelea wilaya hiyo hii leo. 

Reactions:

0 comments:

Post a Comment