Tuesday, 19 July 2016

KIWANDA CHA NGUO MOROGORO CHATEKETEA KWA MOTO


Kiwanda cha nguo cha 21st Century Polister kilichopo Kihonda mkoani Morogoro kimeteketea kwa moto mapema hii leo, chanzo cha moto huo kikielezwa kuwa ni hitilafu ya umeme.

Kiwanda hicho ambacho ni moja ya viwanda vichache vinavyofanya kazi kwa sasa kilikuwa kinatengeneza khanga na vitenge vilivyoanzishwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere.


Reactions:

0 comments:

Post a Comment