Friday, 22 July 2016

JK AONGOZA KIKAO CHA MWISHO CHA NEC


Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akionyesha furaha yake kabla ya kufunga kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM iliyopitisha kwa kauli moja jina la Dk John Magufuli kuwa mgombea uenyekiti wa Taifa wa chama hicho katika kikao (Mkutano Mkuu) kitakachofanyika kesho Julai 23, 2016

Reactions:

0 comments:

Post a Comment