Tuesday, 7 June 2016

RAIS MAGUFULI APOKEA BAKAA YA TUME YA UCHAGUZI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea mfano wa hundi ya Bilioni 12  kutoka kwa  Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe Jaji Mstaafu Damian Lubuva na  Mkurugenzi wa  uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani Kobwey ikiwa ni bakaa ya tume hiyo  zilizopangwa kutumika  na Tume ya Uchaguzi katika   uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2015

Reactions:

0 comments:

Post a Comment