Friday, 17 June 2016

Marekani, Equador Robo fainali Copa America

Marekani kuchuana na Ecuador hatua ya robo fainali
Hatua ya Robo fainali inaanza kuchezwa Usiku wa Ijumaa,Wenyeji Marekani ndio watafungua dimba kwa kucheza na Ecuador.
Kesho Jumamosi Peru itachuana na Colombia na Jumapili Ajentina watacheza dhidi ya Venezuela na Mabingwa Watetezi Chile watacheza na Mexico.
Na hatua ya Nusu fainali inatarajia kupigwa siku ya jumatano juni 22 ,na Mshindi wa tatu ni jumapili ya juni 26,huku fainali ikitrajiwa kupigwa Jumatatu juni 27 Juni 2016

Reactions:

0 comments:

Post a Comment