Monday, 6 June 2016

MAGUFULI AKUTANA NA WANADIPLOMASIA WA KIMATAIFA IKULU DAR ES SALAAM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na badaae (chini) mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini  Mhe. Mark Childress aliyemtembelea   Ikulu jijini Dar es salaam leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana  na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa mambo ya Nje wa Ubelgiji Mhe. Didier Reynders aliyemtembelea Ikulu Dar es salaam leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini Mhe. Luigi Scotto
aliyemtembelea na kumuaga baada ya kumaliza muda wale wa kazi  Ikulu Dar es salaam leo

Reactions:

0 comments:

Post a Comment