Thursday, 30 June 2016

AJALI YA BASI YATOKEA IRINGA MJINIWatu zaidi ya 10 wamejeruhiwa na wengine kunusurika kifo baada ya basi la ya Mungu Mengi kutoka Stendi kuu Iringa kwenda Ifunda na Igomtwa kupinduka eneo la kisima cha Bibi mlima wa Ipogolo mjini Iringa.


Taarifa za awali zinaonesha basi hilo lilifeli breki zake kabla ya ajali hiyo.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment