Friday, 20 May 2016

Marehemu Sajenti ALLI KINYOGOLI anatarajiwa kuzikwa leo saa kumi jioniMarehemu Sajenti ALLI KINYOGOLI aliyeuawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Mwandege Mkoani Pwani anatarajiwa kuzikwa leo saa kumi jioni Ukonga Mzamabarauni Jijini Dar es Salaam.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment