Monday, 16 May 2016

Aliyesababisha Mandela akamatwe akiri

Mandela alikamatwa mwaka 1962 saa za usiku karibu na mji wa Durban. 
 Mandela alikuwa rais mweusi wa kwanza nchini Afrika Kusini. 
Ufichuzi huo unatarajwa kuiwekea shinikizo CIA kuitaka kutoa habari kuhusu kukamatwa kwa Nelson Mandela.

 Wakati huo kiongozi yeyote wa kundi lililojihami alitajwa kuwa gaidi na mkomisti hatari zaidi nje ya muungano wa usovieti na tisho kwa nchi za magharibi.

Hata hivyo Mandela alikana kuwa mwanachama wa chama cha kikomisti.
Ufichuzi huo unatarajwa kuiwekea shinikizo CIA kuitaka kutoa habari kuhusu kuhusika kwake katika kukamatwa kwa Nelson Mandela na uungaji mkono wake serikali ya ubaguzi wa rangi.


Reactions:

0 comments:

Post a Comment