Thursday, 21 April 2016

MBUNGE KABATI AAPISHWA RASMI ,MBUNGE MCH .MSIGWA NA VENANCE MWAMOTO WAMPONGEZA

mbunge wa jimbo la Kilolo Bw Venance Mwamoto ( Kushoto) na mbunge wa jimbo la Iringa mjini Chadema mchungaji Peter Msigwa wakimpongeza mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa CCM Ritta Kabati baada ya kuapishwa kuwa mbunge leo mjini Dodoma 

Reactions:

0 comments:

Post a Comment