Tuesday, 19 April 2016

Kikosi cha Azam FC kinajiandaa na Mchezo wa Marudiano Tunisia Japo kitawakosa wachezaji hawa

 Kikosi cha Azam FC kinajiandaa na mchezo wa marudiano wa raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Esperance utakaofanyika leo Jumanne Aprili 19.
Baadhi ya picha zinaonyesha wachezaji hao wakifanya mazoezi mengine ya ziada.
Katika mechi ya leo Azam Fc itawakosa Kipre cheche, Shomari  kapombe, Pascal Wawa na Erasto Nyoni ambao ni wagojwa Muginereza ambaye ana kadi 2 za njano.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment