Wednesday, 13 April 2016

KATIBU MKUU WA CHADEMA AKABIDHIWA OFISI


KATIBU Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk Vincent Mashinji ameripoti katika makao makuu ya Chadema Kinondoni jijini Dar es salaam na kukabidhiwa ofisi yake ambayo ilikuwa ikitumiwa na Dr. Wilbroad Slaa aliyejiuzulu kukitumikia chama hicho.

Mashinji   alipokelewa na viongozi mbalimbali waandamizi wa chama hicho akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar, Salumu Mwalimu.


Reactions:

0 comments:

Post a Comment