Monday, 21 March 2016

WANAHABARI WA IRINGA WAKIWA KAZINI


HAPA KAZI TU! ndivyo wanavyosema wanahabari hawa wa Iringa, Oliva Motto wa Star TV, Clement Sanga wa Channel Ten na Irine Mwakalinga wa TBC.

Pamoja na kauli mbiu hiyo nzuri, wanahabari hawa wanakutana na changamoto mbalimbali za kiutendaji zinazofifisha uhuru wa upataji na usambazaji wa habari. Nani wa kuwasaidia? hili ni swali linalopaswa kuulizwa na kila mdau

Reactions:

1 comments: