Friday, 11 March 2016

RAIS WA VIETINAM AMALIZA ZIARA YAKE NCHINIRais wa Vietinam, Truong Tan Sang na Mkewe Mai Thi Hanh  wakiwapungia wananchi huku wakiongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuelekea kwenye ndege yao kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  wakati walipoondoka nchini Machi11, 2016

Reactions:

0 comments:

Post a Comment