Wednesday, 9 March 2016

JK AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS TUONG WA VIETNAM LEO

Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amefanya mazungumzo na Rais wa Vietnam Truong Tan Sang katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam.


Mazungumzo hayo yaliyoshirikisha viongozi wengine wa chama hicho yalihusu mahusiano kati ya CCM na nchi hiyo ya Vietnam, hasa ikizingatiwa kwamba, Nchi hiyo ilishiriki kwa namana moja au nyingine katika harakati za ukombozi Kusini mwa Afrika na harakati nyingine za ukombozi wa Mwafrika hasa Watanzania enzi za Baba wa Taifa Hatari Mwalimu Nyerere.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment