Sunday, 13 March 2016

FAMILIA YA DEO FILIKUNJOMBE YAZINDUA DUKA LA KUUZA KAMERA, WANAHABARI WA MIKOANI WAHUDHURIAWAANDISHI toka mikoani walialikwa katika uzinduzi wa duka kubwa linalouza kamera za kisasa la Jumbo Camera House linalomilikiwa na familia ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe.

Pamoja na wanahabari kadhaa wa jijini Dar es Salaam, wanahabari wa mikoani waliohudhuria uzinduzi huo ni pamoja na Joyce  Joliga wa Mwananchi na Emannuel Msigwa wa ITV.


Duka hilo jipya lipo katika Jengo la NSSF Benjamin Mkapa, Dar es Salaam 

Reactions:

0 comments:

Post a Comment