Monday, 21 March 2016

ASSAH MWAMBENE AHAMISHIWA MAMBO YA NJE


Mkurugenzi wa Idara ya Habari-Maelezo Bw. Assah Mwambene  ameondolewa katika idara hiyo na kupelekwa  Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki Kikanda na Kimataifa ili akapangiwe kazi nyingine ambayo bado haijatajwa.


Katibu Mkuu Wizara ya Habari, utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel amemteua Bibi Zamaradi Kawawa kuwa Kaimu Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo ambapo atashika nafasi hiyo mpaka uteuzi mpya utakapofanyika

Reactions:

0 comments:

Post a Comment