Saturday, 27 February 2016

MAAFISA WAWILI WA JESHI JELA MIAKA 360 KWA UBAKAJI
MAOFISA wawili wa ngazi za juu katika jeshi la  Guatemala wametupwa jumla ya miaka 360 jela, baada ya kupatikana na hatia ya mauaji, ubakaji na kuwaweka wanawake wa kabila l Mayan  katika utumwa wa ngono.

Maofisa hao wawili ni Esteelmer Francisco Reyes Giron  ambaye alikuwa kamanda wa kambi na Heriberto Valdez Asij aliyekuwa kamishina wa jeshi .

Watu hao walipatikana na hatia ya uhalifu dhidi ya ubinadamu.

Hii ni  kadhia ya kwanza kihistoria kutolewa hukumu hiyo kw amatendo yaliyofanyika wakati wa mitafaruku ya kijeshi katika miaka ya 1980.

Mshindi wa tuzo ya Nobel Rigoberta Menchu amesema kwamba kilichotokea ni ushindi mkubwa kwa wanawake na wale ambao waliathirika na matukio hayo.

Francisco Reyes Giron, ambaye alikuwa kamanda wa kambi ya  kijeshi ya Sepur Zarco  alipatikana na hatia ya kuwaweka katika utumwa wa kingono wanawake 15 na kwa kumuua mwanamke mmoja na mabinti zake wawili.

Heriberto Valdez Asij,  naye alipatikana na hatia hizo pamoja na kuwapoteza katika uso wa nchi hiyo wanaume saba.

Asij alikuwa anatekeleza kazi anazoagizwa na jeshi.

Kwa miongo kadhaa waathirika wa matukio hayo wamekuwa wakitaka wahusika katika kambi ya Sepur Zarco waliofanya uhalifu huo wawajibishwe.

endelea kwa king'eng'e

"We were raped, all of this happened. If it wasn't like this, where are our husbands? We don't know where they are," said Demesia Yac, 70, who acted as a representative for the women.

The court had heard harrowing details about what went on at the base in the eastern highlands during the 1980s.

According to the prosecution, in 1982 armed forces repeatedly attacked the village of Sepur Zarco and killed or took away Mayan leaders who had been applying for land titles and had angered local landowners.

The men were accused of being associated with left-wing guerrillas.

Agustin Chen, one of the men who survived said the soldiers took him to a cell and beat him every day.

"They killed seven people, throwing two grenades into the pit where they had put them." 
The court heard how military commanders considered the women to be "available" without their men and had then taken them into sexual and domestic slavery.

They were required to report every third day to the base for "shifts" during which they were raped, sexually abused, and forced to cook and clean for the soldiers.

In a report to the court, anthropologist Irma Alicia Velasquez Nimatuj said military outposts were installed in the region "to give security to the landowner's farms and to take possession of the lands".

For some of the victims, their ordeal lasted as long as six years until the base was closed in 1988.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment