Friday, 19 February 2016

HUYU NDIYE TANZANIA ONE MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015

 Butogwa Charles Shija

Huyu ndiye mwanafunzi bora wa kwanza Kitaifa katika Mtihani wa Kidato cha Nne 2015, Butogwa Charles Shija. Binti huyu amefanikiwa kuwagaragaza wanafunzi wavulana  hapa nchini katika matokeo hayo yaliyotangazwa jana.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment