Monday, 11 January 2016

RAIS DK MAGUFULI AIFARIJI FAMILIA YA MAMA NYERERE KUFUATIA KIFO CHA MKWEWE LETICIA NYERERE

mar4

Rais Rais Dk John Pombe Joseph Magufuli akimfariji  Mama Maria Nyerere, Mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, na wanafamilia nyumbani kwake Msasani kufuatia kifo cha mkwe wake Marehemu Leticia Nyerere kilichotokea huko Maryland, Marekani

Reactions:

0 comments:

Post a Comment