Monday, 11 January 2016

NI KWELI OBAMA ANATAKA KUWA KATIBU MKUU WA UN BAADA YA KUONDOKA IKULU YA MAREKANI?


TAARIFA iliyochapishwa na gazeti la Al-Jarida la Kuwait jana, inadai kwamba Rais Baraka Obama wa Marekani anataka kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa baada ya kuondoka Ikulu ya Marekani.


Kusudio hilo la Rais Obama linaonekana kutoungwa mkono na baadhi ya viongozi wa kimataifa, akiwemo Rais wa Israel Benjamin Netanyau.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment