Monday, 4 January 2016

MKURUGENZI WA MANISPAA YA ILEMELA APIGWA CHINI


Naibu Waziri wa Tamisemi Suleiman Jaffo amemsimamisha kazi kwa muda Mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela jijini Mwanza John Wanga.


Hatua ya Jaffo imekuja ili kupisha uchunguzi wa uhalali wa fedha zilizotumika kujenga uzio wa Halmashauri ya Wilaya hiyo.

Amesema nafasi yake itashikiliwa kwa muda na Injinia Jacob Nathaniel hadi uchunguzi wa tuhuma hizo utakapokamilika

Reactions:

0 comments:

Post a Comment