Monday, 11 January 2016

DK KIKWETE AMPONGEZA MBWANA SAMATTA

01

Mchezaji Mbwana Samatta aliyeshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika kwa wachezaji wa Ndani  akimkabidhi jezi  yake anayoivaa akiwa katika timu yake ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Rais Mstaafu na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mh. Jakaya Kikwete, kulia anayeshuhudia ni  Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Nnauye  wakati walipokutana leo katika ofisi ndogo ya CCM Makao makuu Lumumba jijini Dar es salaam

Reactions:

0 comments:

Post a Comment