Friday, 11 December 2015

WATUMISHI WA FORODHA TUNDUMA WAHUSISHWA NA USAFIRISHAJI WA MAGOGO, RC KANDORO AAGIZA WAKAMATWE


MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro ameagiza Jeshi la Polisi kuwakamata maafisa Forodha wa mpaka wa Tanzania na Zambia mjini Tunduma wanaotuhumiwa kuhusika na biashara haramu ya kusafirisha magogo.


Kandoro ametoa agizo hilo baada ya kukamawata kwa shehena ya magogo mjini Tunduma ikiwa imefichwa nyumba za baadhi ya wakazi wa mji huo.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment