Thursday, 3 December 2015

TUMEREJEA TENA BAADA YA KUTOKUWA HEWANI KWA TAKRIBANI WIKI MBILI


Kwa wasomaji wote wa BONGO LEAKS; hii ni kuwataarifuni kwamba tumerejea hewani baada ya kutoonekana kwa wiki mbili kutokana na matatizo ya kiufundi.

Timu ya BONGO LEAKS inapenda kuwaombeni radhi kwa usumbufu mlioupata wakati mkifuatilia matukio mbalimbali kupitia mtandao huu.

Natanguliza shukrani

Frank Leonard
Executive Director &Managing  editor


Reactions:

0 comments:

Post a Comment