Wednesday, 9 December 2015

DK JOHN MAGUFULI AFANYA USAFI JIJINI DAR ES SALAAM


HAPA KAZI TU ya  Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe  Joseph 
Magufuli  ikiendelea kufanyiwa kazi kama Rais  huyo aonekanavyo pichani akiwa sambamba na mkewe Mama Janeth Magufuli,wakishiriki kufanya usafi leo ndani na nje viunga vya Ikulu ikiwemo pia soko la Samaki Feri,ambako alipata wasaa kuwasikiliza wachuuzi wa samaki na wavuvi

Reactions:

0 comments:

Post a Comment