Monday, 7 December 2015

BE FORWARD YAKABIDHI GARI AINA YA TOYOTA IST KWA MSHINDI JIJINI ARUSHA


DSC00871
Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Be Forward Geoffrey Mibaz akimkabidhi mshindi ambaye ni Mwalimu wa Shule ya St. Jude Mkoani Arusha aliyeambatana na familia yake,  Rasul Mngazija gari aina ya Toyota IST yenye thamani ya Sh. Milioni 12 katika promosheni ya jishindie IST iliyofanyika jana jijini Arusha iliyoendeshwa na kampuni ya uuzaji magari ya Be Forward Tawi la Tanzania
DSC00877
Muonekano wa Gari aina ya Toyota IST yenye thamani ya Sh. Milioni 12
DSC00875
Mshindi Rasul Mngazija akiwa na mkewe Hazina Msechu wakiwa na nyuso za furaha ndani ya gari aina ya IST walioshinda katika promosheni iliyokuwa ikiendeshwa na kampuni ya Be Forward Tanzania
DSC00874
Rasul Mngazi akiwa ndani ya gari akijaribu kuwasha huku akiwa na uso wa tabasamu
DSC00854
Afisa masoko kampuni ya Be Forward tawi la Arusha Gooluck Lyimo akiwa anamkabidhi mshindi documenti za gari ofisini kwao jijini Arusha jana mara baada ya kutembelea ofisi hizo.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment